Msichana wa miaka 25 auawa Kimilili

Kifo cha msichana mmoja wa miaka 25 aliyekumbana na mauti katika hali ya kutatanisha kinazidi kuwatia hofu wenyeji wa kimilili katika kaunti ya Bungoma. Msichana huyo anadaiwa kuuawa alipokuwa amemtembelea mchumba wake ambaye pia akipigwa na kuachwa katika hali mahututi na watu wasiojulikana.

Tags:

Kimilili Bungoma killing

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories