Msisimko wa safari ya treni mpya ya SGR

Safari 18 za treni tangu uzinduzi wa Madaraka Express, watu 17,170 wamesafiri kwenye treni hiyo. Msisimko unazidi kuongezeka kiasi cha watu kukosa tiketi kutokana na umati unaotaka kusafiri. Wengi wa abiria wanashangazwa na umakinifu na kasi ya treni, usafi na huduma zinazotolewa kiasi cha kupuuzilia mbali changamoto za hapa na pale ambazo zinakabili usafiri wa sgr. Faiza maganga aliabiri treni hiyo kutoka nairobi kuelekea mombasa na kurudi.

Tags:

JUBILEE SGR Madaraka Express reli ya kisasa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories