Msongamano mkubwa washuhudiwa katika barabara kuu ya Nairobi-Mombasa


Usafiri katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa ulikwama kwa takriban saa ishirini kufuatia msongamano mkubwa ulioshuhudiwa baada ya korongo iliyokuwa ikijaribu kuondoa lori lililokuwa limekwama kuanguka katika eneo la kibiashara la salama.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Former sports CS Hassan Wario convicted over Rio games scam

Avatar
Story By Citizen Team
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *