Mswada wa kupinga sketi fupi wawasilishwa bungeni Nyeri


Mjadala kuhusu ni vazi lipi sahihi kwa wawakilishi wa wadi wanawake katika kaunti ya Nyeri unaendelea kutokota huku baadhi ya madiwani wa kiume wakitaka wenzao wa kike kuzuiwa kuvaa nguo fupi na zinazobana.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Martin Munene
More by this author