Mtaala mpya wa udereva kuanza mwezi Januari

Kuanzia Januari mwaka ujao madereva wa magari ya umma watahitajika kuwa wamefikisha umri wa miaka 22 huku wale wa trela wakihitajika kutimu umri wa miaka 28 kabla ya kupata leseni. Hii ni kwa mujibu wa kanuni mpya za udereva na mtaala utakaotumika kuwafundisha madereva wapya huku shule zote za udereva zikihitajika kuwaajiri walimu walioidhinishwa na mamlaka ya usalama barabarani NTSA.

Tags:

NTSA matatus Francis mejja PSV vehicle

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories