Mtahiniwa wa mtihani wa KCSE ashtakiwa udanganyifu


Mwanafunzi mmoja wa shule ya upili ya Koelel eneo la Gilgil, kaunti ya Nakuru alifikishwa mahakamani hii leo kwa kuhusika katika udanganyifu kwenye mtihani wa KCSE uliokamilika hii leo
Mwanafunzi huyo pamoja na mshukiwa anayekisiwa kumsaidia, Kennedy Nyaigoti walikanusha mashtaka ya udanganyifu mbele ya hakimu mkuu wa Naivasha Esther Kimilu na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki tano.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author