Mtangazaji wa radio, Makosewe amefariki
Published on: October 26, 2016 09:46 (EAT)
Mwanahabari wa radio, stesheni Ya Urban Radio iliyoko mjini Kisumu Grace Makosewe amefariki. Makosewe ambaye aliwahi hudumu kama mtangazaji katika kituo cha radio cha Capital alipatikana akiwa amefariki nyumbani kwake hapa Nairobi.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment