Mtangazaji Waweru Mburu azikwa Murang’a

Maelfu ya wakenya hii leo walijumuika na familia, jamaa, marafiki, wanahabari wa kampuni ya royal media services katika sherehe ya mazishi ya mtangazaji maarufu ambaye pia alikuwa mkuu wa radio Citizen Waweru Mburu katika eneo Pundamilia, Makuyu kaunti ya Murang’a. Waweru Mburu almaarufu kwa kipindi chake yaliyotendeka alifariki wiki jana baada ya kuugua saratani ya tumbo kwa muda wa miezi minne. Mwamahabari Wetu Gatete Njoroge alihudhuria mazishi hayo ni hii hapa taarifa yake

Tags:

waweru mburu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories