Mtawa Catherine aolewa na kanisa huko Nyeri

Tukio lisilo la kawaida hususan katika jamii ya Agikuyu limefanyika katika kanisa katoliki la Gititu kaunti ya Nyeri ambapo mtawa mmoja wa kanisa hilo alipofunga pingu za maisha  kama ishara tosha kwamba ameolewa na kanisa hilo na kwamba atatumikia kanisa hilo siku zote za maisha yake.mwanahabari wetu Daniel Wanjala anatuarifu zaidi…..

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories