Mti wa mugumo waanguka

 

Baadhi ya wazee kutoka jamii ya wakikuyu walikusanyika katika shule ya msingi ya  g. M. Kinoo kaunti ya kiambui  kwa ajili ya kutakasa eneo hilo kufuatia kile wanachodai kuwa kosa kubwa lililotendwa katika ardhi takatifu baada ya tawi la mti wa mugumo kukatwa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories