Mtihani wa KCPE wakamilika baada ya kufanyika kwa siku 3

Leo ikiwa siku ya mwisho ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane, katibu katika wizara ya elimu Belio Kipsang amesema kuwa zoezi la usahihishaji litaanza mara moja. Hii ni baada ya wizara ya elimu kununua mitambo mipya ya kusahihisha.

Tags:

Fred Matiang'i kcpe Belio Kipsang

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories