Mtihani wa kidato cha nne wakamilika

Waziri wa elimu fred matiangi, ametangaza kwamba makamishna wa kaunti hivi karibu wataanza kusimia mitihani.

 Kcse  matiangi aidha alifafanua kwamba makamishna wa kaunti watatekeleza wajibu huo wa kusimamia mitihani ya kitaifa kwa ushirikiano na wakurugenzi wa elimu katika kaunti mwanahabari hassan farah na maelezo kamili

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories