Mtoto ajeruhiwa vibaya na walimu

Kwa mara nyingi wazazi hukabidhi shule wana wao ili kuwapa mafunzo, lakini iweje kisha kuwageukia na kuwaadhibu karibu na kuwatoa uhai? Ndio hali iliyomfika mzazi mmoja kutoka eneo la mataara kaunti ya Kiambu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories