Mtoto aliyekanyagwa na basi la shule yao Mombasa azikwa

Mtoto Jeremy Masila aliyekanyagwa na basi la shule yao na kufariki amezikwa leo nyumbani kwao eneo la kwa Ngindu katika kaunti ya Kitui.
Jeremy alipoteza maisha baada ya kuanguka kutoka kwenye basi la shule yao ya St. Augustine mjini Mombasa. Basi hilo lilikuwa na tundu kwenye sakafu yake ambapo Jeremy alianguka na kukannyagwa na gurudumu ya basi hilo. Kesi dhidi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo pamoja na wafanyakazi wengine wanne inaendelea.

Tags:

kitui Jeremy Masila St.Augustine

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories