Mtoto Samantha Pendo yafanyiwa ibada ya wafu mjini Kisumu


Ibada ya wafu ya mtoto Samantha Pendo aliyefariki kutokana na majeraha mabaya aliyopata kichwani imefanyika leo mjini Kisumu. Pendo aligongwa na wanaodaiwa kuwa ni polisi waliokuwa wakizuia ghasia mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa tarehe nane Agosti kutangazwa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author