Mtoto Wa Balozi Auwawa Chuo kikuu Cha St. Paul

Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha St. Paul aliuwawa na watu wasiojulikana  mnamo  usiku wa Jumamosi.  Inadaiwa ya kwamba mwanafunzi huyo ambaye anatambulika kama Dennis Chirwa, ni mtoto wa balozi wa Malawi humu nchini.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories