Mtoto wa mwaka mmoja na miezi mitatu ateseka Kwale


Isac ibenzi mtoto wa umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu, alikatwa mkono wake kwa kile kinachodaiwa kuwa uzembe wa muhudumu wa afya  katika hospitali kuu ya rufaa ya msambweni kaunti ya  kwale,   kutokana na kudungwa sindano kimakosa hali ambayo ilisababisha mkono wake kuoza  na hatimaye  kukatwa katika  hospitali kuu ya rufaa ya Mombasa. Nicky Gitonga ameandaa taarifa hiyo kwa kina

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Nicky Gitonga
More by this author