Mtoto wa mwaka mmoja na miezi mitatu ateseka Kwale
Published on: August 19, 2017 08:01 (EAT)
Isac ibenzi mtoto wa umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu, alikatwa mkono wake kwa kile kinachodaiwa kuwa uzembe wa muhudumu wa afya katika hospitali kuu ya rufaa ya msambweni kaunti ya kwale, kutokana na kudungwa sindano kimakosa hali ambayo ilisababisha mkono wake kuoza na hatimaye kukatwa katika hospitali kuu ya rufaa ya Mombasa. Nicky Gitonga ameandaa taarifa hiyo kwa kina
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment