Mtu Anaswa Na Bangi Yenye Thamani Ya Milioni 8 Thika

Mtu mmoja aliyejitambulisha kama ‘Jah’ James Mwangi anaswa na maafisa wa polisi katika mtaa wa Kiganjo mjini Thika baada ya kupatikana na bhangi yenye thamani ya shilingi milioni nane.Mwangi ansema ya kwamba amekuwa akivuta na kuuza bhangi hiyo akidai ya kuwa imekubaliwa katika dini yake na anasema ya kwamba inaponya Ebola au hata laana.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories