Mtu bora achaguliwe kuwa naibu wa chansela, Moi: Melly:

Viongozi wa eneo la kaskazini ya bonde la ufa wamejitokeza kukashifu siasa zinazoendelea kuhusiano na uteuzi wa kaimu Naibu Chansela Laban Ayiro katika chuo kikuu cha Moi, Eldoret. Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Isaac Melly amesema kuwa ni muhimu kwa waziri wa elimu kujitokeza na kuwaeleza wakenya sababu iliyo mchelewesha kufanya hivyo. Wakati huo huo kiongozi wa chama cha amani musalia mudavadi amekosoa viongozi ambao wanaendekeza ukabila kwenye suala hilo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories