Mtu mmoja afariki Kisumu, mgomo wa wauguzi ukiingia siku ya 6

Mtu mmoja wengine amefariki katika kaunti ya Kisumu baada ya kukosa huduma hospitalini huku mgomo wa wauguzi ukiingia siku yake ya sita hii leo.  Idadi ya waliofariki kufuatia mgomo huo sasa ikifikia  zaidi ya watu kumi, wauguzi kadhaa wamepokea barua za kuwatisha kurudi kazini kabla hatua kuchukuliwa.

Tags:

mgomo wa wauguzi wauguzi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories