Mtu mmoja auwawa Kitui

Aliyekuwa meya wa Kitui Martha Mwangangi amefariki hii leo baada ya kugongwa na gari ya kuzima moto. Aliyekuwa waziri wa ardhi Charity Ngilu aliponea kifo kwenye ajali hiyo. Kulikuwa na maandamano ya kupinga ubomozi wa vibanda vya biashara  wakati gari la  zima moto lilipoingilia kati kutisha watu waliotaka kuchoma gari ya serikali ya county.

Tags:

kitui CHARITY NGILU Martha mwangangi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories