Mudavadi atilia shaka kuwa kuna vituo vingi visivyo na mtandao


Kinara mwenza wa Nasa Musalia Mudavadi amezungumzia kuhusu ukosefu wa mtandao katika baadhi ya vituo vya kupigia kura kama ilivyotangazwa na tume ya IEBC. Pia Mudavadi alitaka serikali kuweka ulinzi wa kutosha katika ukumbi wa Bomas ambapo ndio kituo kikuu cha kuhesabia kura. Mudavadi alikuwa anazungumza na waandishi wa habari leo jioni.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Citizen Team
More by this author