Mudavadi awataka wananchi wajiandae kwa kura ya maamuzi

Kinara mwenza wa muungano wa NASA Musalia Mudavadi amewataka wananchi kuanza kujiaandaa kushiriki kura ya maamuzi ambayo anasema ndio itakayotatua mzozo w akisiasa uliopo. Mudavadi amesema kuwa mfumo wa uongozi ulivyo kwenye katiba ya sasa hauwezi kutatua mzozo uliopo na kuwataka wananchi kushabikia bunge la wananchi ambalo linapigiwa upatu na upinzani kama njia ya kuelekea kwenye kura hiyo ya maamuzi.

Tags:

NASA Musalia Mudavadi national referendum

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories