Mugabe ahudhuria mahafali ya chuo cha Zimbabwe

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amejitokeza Kwa mara ya kwanza hadharani tangu jeshi la taifa hilo kuchukua mamlaka ya utawala wa nchi hiyo. Hali ya taharuki ingali imetanda huku mazungumzo yakiendelea kuhusu mustakabali wa uongozi wa taifa hilo.

Tags:

Robert Mugabe Zimbabwe Harare

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories