Mulika MnyakuzI!

Waziri wa ardhi, nyumba na ustawi wa miji Charity Ngilu hii leo ametangaza majina ya wakurugenzi wa kampuni inayoaminika kunyakua ardhi tata ya shule ya msingi ya Lang’ata Road. Ngilu ambaye amewatangaza wakurugenzi wanne wa kampuni ya Airport view housing limited anasema utata wa unyakuzi wa ardhi umekithiri nchini, huku shule zaidi na vituo vya polisi vikiathirika. Sam Gituku na maelezo…

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories