Munya arudi Jubilee


Aliyekuwa gavana wa Meru Peter Munya na ambaye hivi majuzi alijiunga na muungano wa upinzani Nasa sasa amebadili msimamo wake na kutangaza kuwa atamuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta kwenye marudio ya uchaguzi wa tarehe 17 mwezi Oktoba.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Citizen Team
More by this author