Mustakabali wa KANU

 

Msimamo wa chama cha KANU unaonekana kuyumbayumba baada ya Mweyekiti Gideon Moi na katibu mkuu Nick Salat kutofautiana kuhusu mrengo ambao chama hicho kinaunga mkono. Je, chama cha KANU kiko upande wa serikali ya Jubilee au kimekita mizizi katika muungano wa upinzani NASA?

Tags:

Ballot 2017

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories