Muturi, Lusaka wachaguliwa maspika


Aliyekuwa gavana wa Bungoma Kenneth Lusaka na Justin Mituri wamechaguliwa kuwa maspika wa seneti na bunge la kitaifa mtawalia. Lusaka alimbwaga mgombea wa muungano wa Nasa Farah Maalim baada ya duru mbili za uchaguzi huku muturi akitwaa ushindi pia katika duru ya pili ya uchaguzi huo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Faiza Wanjiru
More by this author