Muungano wa NASA waandaa mkutano Bomet

Viongozi wa upinzani hii leo walikongamana katika kaunti ya Bomet,  kuzindua  rasmi muungano mkuu wa NASA. Viongozi hao wakiwemo kinara wa cord Raila Odinga. wameikosoa serikali ya Jubilee kwa kutenga maeneo mengine bila miradi. Mwanahabari wetu wa maswala ya kisiasa Stephen Letoo yuko katika kaunti ya Bomet  na ametuandalia taarifa ifuatayo.

Tags:

NASA Bomet

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories