Muungano wa NASA wafanya kampeni Nyamira na Kisii


Viongozi wa muungano wa NASA wanawataka wenzao wa mrengo wa Jubilee kuiheshimu idara ya mahakama kama asasi huru. Viongozi hao ambao walipeleka kampeni zao katika kaunti ya Nyamira wamewashtumu Rais Uhuru Kenyatta na Naibu Rais William Ruto kwa kumkashifu Jaji Maraga na wenzake ambao walibatilisha uchaguzi wa urais.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Faiza Wanjiru
More by this author