Muungano wa NASA wakutana na mabalozi

Mabalozi, wakaguzi wa uchaguzi wa muungano wa bara uropa na viongozi wa kidini wako mbioni kujaribu kuwashinikiza viongozi wa muungano wa Nasa kulegeza kamba na kushiriki katika uchaguzi wa oktoba 26. Katika mikutano mbalimbali na viongozi hao, Nasa imesisitiza kuwa itarejea kwenye meza ya mazungumzo na Jubilee pamoja na tume ya uchaguzi kutafuta muafaka iwapo tu Jubilee itasitisha mipango ya marekebisho ya sheria za uchaguzi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories