Muungano wa NASA wapanga kumwapisha Kalonzo

Muungano wa NASA unapanga mikakati ya kumwapisha Kalonzo Musyoka kama naibu wa rais hata ikiwa hatakuwepo wakati wa kumwapisha Raila Odinga kama rais Jumanne ijayo. Kutokuwepo humu nchini kwa kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka sasa kunaonekana kuweka kwenye njia panda mikakati ya muungano wa NASA kama anavyoripoti Phillip Murutu.

Tags:

raila odinga kalonzo musyoka NASA

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories