Muungano wa NASA wapeleka kampeni Kwale

Kinara wa muungano wa NASA Raila Odinga leo amewaongoza wanasiasa wa muungano huo kujipigia debe katika mji wa Diani kaunti ya Kwale. Viongozi wa muungano huo wameishutumu serikali ya Jubilee kuwa imeshindwa na kazi na kuwarai wakazi wa pwani waupigie kura muungano wa NASA.

Tags:

raila odinga Mombasa NASA Musalia Mudavadi KWALE Hassan Joho

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories