Muungano wa NASA watishia kutoshiriki uchaguzi wa marudio


Kiongozi wa muungano wa Nasa Raila Odinga ameitaja barua iliyoandikwa na mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati kuonesha dosari zilizofanyika katika uchaguzi wa Agosti 8 kama ambayo imedhihirisha malalamishi yake kuhusu kura kuibiwa na kuhusika kwa maafisa wakuu wa IEBC. Raila anasisitiza kuwa hatashiriki uchaguzi wa terehe 17 mwezi ujao kabla ya tume hiyo kurekebisha kasoro zake.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author