Mvua kubwa yasababisha msongamano mkubwa

Msongamano mkubwa wa magari umeshuhudiwa mapema hi leo katika barabara kuu ya nairobi-mombasa, baada ya mvua kubwa kunyesha maeneo hayo, hali ambayo imesababisha shughuli za usafiri kuathirika pakubwa katika eneo la miasenyi, taru na maungua.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories