Mvua kubwa yatatiza usambazaji wa karatasi za mtihani


Wiki ya pili ya mtihani wa kitaifa wa kcse imeshuhudia changamoto kadhaa huku mitihani hiyo ikicheleweshwa katika baadhi ya maeneo kutokana na mvua kubwa inayonyesha. Aidha visa kadhaa vya udanganyifu vimeripotiwa huku wahusika wakinaswa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Pimped tuk-tuk take Thika town by storm

Story By Makori Ongechi
More by this author