Mvua yasababisha msongamano wa magari


Baadhi ya wasafiri katika barabara kuu ya Nairobi kwenda Mombasa wamelazimika kulala ndani ya magari yao kwa sababu ya msongamano mkubwa uliodumu kwa zaidi ya saa 24 katika eneo la Taru kaunti ya Kwale kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Kadzo Gunga
More by this author