Mvulana azama mtoni huko Molo na kupoteza maisha

Familia moja katika kijiji cha Lelechwet kaunti ya Nakuru inaomboleza kifo cha kijana wao aliyeaga dunia hapo jana, baada ya kuanguka mtoni.

Elvis keter mwenye umri wa miaka 24 anasemekana kuteleza na kutumbukia kwenye mto molo walipokuwa wakijipiga picha na marafikize.

Tags:

molo Elvis Keter

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories