Mvulana bora kwenye mtihani wa KCPE aonekana kwa mara ya kwanza

Jamaa na marafiki wa mvulana Eugene Mwangi aliyekuwa mtahiniwa bora zaidi nchini katika mtihani wa kitaifa wa Shule za msingi KCPE Mwaka huu waliungana kusherehekea na kumpongeza. Mwangi alipata alama 446 katika mtihani huo.

Tags:

kcpe Goldalyn Kakuya Eugene Mwangi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories