Mwalimu atoweka baada ya kumdunga jamaa kisu

Mwalimu mmoja katika eneo la Bungoma ametoweka baada ya kumudunga kisu na kumuua jamaa mmoja katika eneo hilo wakati spika wa bunge la kaunti ya  Nairobi akitangaza kuwania kiti cha ubunge. Makori Ongechi anatupasha kwenye taarifa hizo na nyingine katika mseto wa kaunti.

Tags:

bungoma mwalimu amdunga jamaa kisu Ole Magero

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories