Mwalimu mkuu mlevi akamatwa Nyandarua


handcuff
handcuff

Polisi katika eneo la OlKalou hii leo wamemkamata Mwalimu Mkuu aliyefika kuchukua karatasi za mitihani akiwa mlevi katika kaunti ya Nyandarua.

Mwalimu huyo kwa jina Peter Kamau Ndegwa ambaye ni mwalimu mkuu wa Shule moja ya kibinafsi, aliwasili katika afisi ya kamishna wa kaunti ya Nyandarua akiwa mlevi chakari na kuzua rabsha.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channel



Video Of The Day: FEATURE: KAYA Forest conservation through culture

Story By Benjamin Muriuki
More by this author