Mwana amuua mamake mtaani Kibera

Familia moja mtaani Kibera inaomboleza vifo vya mama na mwanawe wa kiume vilivyotekea kwa wakati mmoja. Kwa mujibu wa majirani, mama huyo alifariki baada ya kudungwa kisu na mwanawe kwa sababu zisizoeleweka. Kitendo hicho cha kinyama kiliwakasirisha  wenyeji wa mtaa huo ambao walimshambulia na kumuua mtuhumiwa kwa mawe.

Tags:

Kibera Kibra kijana amuua mamake

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories