Mwana atuhumiwa kumzika mamake akiwa hai


Mtazamaji hebu tafakari kisa cha mwana kumzika mamake akiwa hai. Mwanaume mmoja katika kaunti ya Bungoma anazuiliwa na polisi baada ya kushukiwa kutaka kumzika mamake akiwa hai.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author