Mwana wa Aboud Rogo azusha rabsha kortini

Mjane wa aliyekuwa mhubiri matata Sheikh Aboud Rogo hii leo amefikishwa mahakamani baada ya kudaiwa kuhusika na shambilizi lililotokea siku ya jumapili katika kituo cha polisi cha central mjini Mombasa.

Tags:

Mombasa Aboud Rogo kituo cha polisi cha central mjini Mombasa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories