Mwanafunzi ajeruhiwa na walimu shuleni Kwale

Idara ya polisi katika eneo  la Diani  kule Msambweni   kaunti ya Kwale inachunguza kisa  cha mwanafunzi wa darasa la sita  kutoka shule ya msingi ya Mwakigwena aliyeadhibiwa na kujeruhiwa  vibaya na walimu wawili wa kike kwa madai ya kukosa kukamilisha kazi zake za ziada. Mwanahabari wetu Nicky Gitonga anatufahamisha zaidi kutoka Kwale.

Tags:

KWALE Mwakigwena Primary School

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories