Mwanafunzi Aliyetishiwa Kuchpwa Na Mwalimu Apotea

Familia moja katika eneo la Nandi Hills wanamtafuta mwanao wao mwenye umri wa miaka 14 aliyepotea kutoka shule ya msingi ya kibinafsi ya Griffins Kipriria Hills Academy baada ya mwalimu wake kusema atamwadhibu siku itakayofuata baada ya kumpata na makosa. Ni kisa ambacho kimesalia kuwa kizungumkuti kwa wazazi wa kijana huyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories