Mwanafunzi aliyewaokoa wenzake kwenye mkasa wa moto aendelea kupata nafuu


Uchunguzi umebaini kuwa wakati wa mkasa wa moto katika shule ya upili ya wasichana ya Moi hapa Nairobi, kulikuwa na wanafunzi mia tatu ndani ya bweni hilo huku kumi na wanane wakiwa si wa kidatu cha kwanza. Hata hivyo kulingana na baadhi ya wazazi ni afueni kuwapata wanao wakiwa hai huku wakiombea familia za wale hawajawapata wana wao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: 5 people dead, 32 rescued, 27 unaccounted for in Tassia building collapse

Avatar
Story By Saida Swaleh
More by this author