Mwanafunzi mlemavu atia bidii na kuwapiku wazima

Erick Mbithi Mwanafunzi Wa Darasa La Tano katika Shule Ya Msingi Ya Msulwa Eneo La Shimbahills Kaunti Ya Kwale Hajakata Tamaa Ya Kusoma, Licha Ya Kulemaa Miguu. Yeye hupanda Na Kushuka Milima Ya Shimba umbali wa Zaidi Ya Kilimita 4 Kila Siku Bila Kuchoka, Akijaribu Kukata Kiu Ya Elimu. Na Kama Anavyotueleza Mwanahabari Wetu Wa Kwale Nicky Gitonga Mbithi pia Ni Mwanasoka Bora Shuleni Humo Tena Wakupigiwa Mfano.

Tags:

KWALE Shimba Hills Msulwa

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories