Mwanafunzi mwenye vipaji vya ajabu Turkana


Wanafuzi wanaozaliwa na changamoto za kimaumbile katika sehemu za mashinani mara nyingi hufichwa na wazazi wao kwa kuwa  wao huchukuliwa

kama watoto waliolaaniwa na wengi hutelekezwa na hivyo hawapelekwi hata shule

 

Katika shule ya msingi  ya mseto ya Lodwar kuna  darasa la  wanafaunzi walio na changamoto tofauti wengine vipofu  na wengine ni viziwi lakini cha kutia moyo ni kwamba  licha ya changamoto hizo  vipawa vyao vinakuzwa hapa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Floods exhume bodies at a cemetery

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author